Macron kujadili wimbi la ghasia za kisiwa cha caledonia
Macron kujadili wimbi la ghasia za kisiwa cha caledonia"
Play all audios:
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anafanya kikao na mawaziri waandamizi mchana huu kujadili wimbi la ghasia linaloshuhudiwa kwenye kisiwa cha bahari ya Pasifiki kilicho chini ya milki ya
Ufaransa cha New Caledonia. Kikao hicho cha dharura cha masuala ya ulinzi na usalama kwa kawaida huwaleta pamoja rais Macron na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa serikali ikiwemo waziri
mkuu, mawaziri wa ulinzi, uchumi, mambo ya nje na wa ya ndani. Kimeitishwa baada ya mtu mmoja kuuwawa na makumi ya watu ikiwemo maafisa wa polisi kujeruhiwa katika machafuko yanayoendelea
katika kisiwa cha New Caledonia kupinga mageuzi ya katiba yanayoshinikizwa na Ufaransa. Mageuzi hayo ambayo ni lazima yaidhinishwa na bunge la Ufaransa yatawapatia haki ya kupiga kura watu
walioishi kwenye kisiwa hicho kwa angalau miaka 10. Hata hivyo magauezi hayo yanapingwa na kundi linalopigania uhuru wa kisiwa cha Caledonia ambalo linasema yatapunguza nguvu ya jamii ya
wazama katika ngazi za maamuzi. [embedded content]
Trending News
Macron kujadili wimbi la ghasia za kisiwa cha caledoniaRais Emmanuel Macron wa Ufaransa anafanya kikao na mawaziri waandamizi mchana huu kujadili wimbi la ghasia linaloshuhudi...
404 - ukurasa haujapatikanaNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Pentekoste:sala ya malkia wa mbingu katika uwanja wa mtakatifu petro! - | vatican newsTarehe 31 Mei 2020 ambapo Mama Kanisa anaadhimisha Sikukuu ya Ujio wa Roho Mtakatifu,Papa Francisko ataadhimisha Misa ka...
Trump aifutia kibali cha mafuta venezuelaAkitangaza uamuzi huo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social siku ya Jumatano (Februari 26), Rais Donald Trump ...
Urusi – DWNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Latests News
Naibu kansela wa ujerumani ziarani ukraineKwa mujibu wa gazeti la the Spiegel la Ujerumani, Habeck ambaye pia ni waziri wa nishati na uchumi atajadili kuhusu sua...
Iran yaanza kuhesabu kura, wahafidhina wakitarajiwa kushindaUchaguzi huo wa jana Ijumaa ndiyo ulikuwa wa kwanza tangu maandamano makubwa yaliosababishwa na kifo cha mwanamke wa Kik...
Sweden kuimarisha doria za mpakaniWaziri Mkuu wa nchi hiyo, Ülf Kristensen, amewaambia waandishi wa habari kwamba uamuzi kuhusiana na suala hilo utatolewa...
404 - ukurasa haujapatikanaNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Uganda:kutangaza injili ni zawadi ya kushirikishana! - | vatican newsKutangaza Injili ni zawadi ya kishirikshana.Kama wakristo,wafuasi wa Yesu,mtindo wetu wa maisha lazima uangazie imani ye...