Sweden kuimarisha doria za mpakani

Dw

Sweden kuimarisha doria za mpakani"

Play all audios:

Loading...

Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ülf Kristensen, amewaambia waandishi wa habari kwamba uamuzi kuhusiana na suala hilo utatolewa Alhamis. Kristensen amesema kuwa wanaimarisha usalama wa Sweden kwa 

lengo la kuwazuia watu walio na mafungamano hafifu na Sweden, kuja kufanya uhalifu au kufanya vitendo vinavyokwenda kinyume na maslahi ya kiusalama ya Sweden. WANAUME WAWILI WA IRAK WACHOMA

QUR'AN MBELE YA BUNGE LA SWEDEN. Hapo jana, wanaume wawili raia wa Irak, Salwan Momika na Salwan Najem, walikichoma kitabu cha Qur'an mbele ya bunge la Sweden. Wawili hao awali

waliwahi kufanya vitendo hivyo nje ya msikiti mkuu wa Stockholm na mbele ya ubalozi wa Irak katika mji huo, vitendo vilivyolaaniwa pakubwa na kupelekea mivutano kati ya Sweden na mataifa ya

Kiislamu.

Trending News

Uchaguzi Uganda 2021 – DW

Nenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...

Naibu kansela wa ujerumani ziarani ukraine

Kwa mujibu wa gazeti la the Spiegel la Ujerumani, Habeck ambaye pia ni waziri wa nishati na uchumi  atajadili kuhusu sua...

Sweden kuimarisha doria za mpakani

Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ülf Kristensen, amewaambia waandishi wa habari kwamba uamuzi kuhusiana na suala hilo utatolewa...

Latests News

Top