Naibu kansela wa ujerumani ziarani ukraine
Naibu kansela wa ujerumani ziarani ukraine"
Play all audios:
Kwa mujibu wa gazeti la the Spiegel la Ujerumani, Habeck ambaye pia ni waziri wa nishati na uchumi atajadili kuhusu suala la ujenzi mpya wa Ukraine pamoja na ushirikiano katika sekta ya
nishati. Ziara ya Habeck imethibitishwa pia na msemaji wa wizara yake ingawa hakutowa maelezo zaidi kutokana na tahadhari za kiusalama. Sekta ya nishati ya Ukraine imeshambuliwa mara kadhaa
na Urusi katika vita vinavyoendelea na baadhi ya wakati mamilioni ya watu waliachwa kizani kutokana na kuharibiwa kwa miundo mbinu ya umeme.
Trending News
Uchaguzi Uganda 2021 – DWNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Naibu kansela wa ujerumani ziarani ukraineKwa mujibu wa gazeti la the Spiegel la Ujerumani, Habeck ambaye pia ni waziri wa nishati na uchumi atajadili kuhusu sua...
Latests News