Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi ukraine
Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi ukraine"
Play all audios:
Hayo yamejiri wakati maafisa wakirejesha huduma za umeme katika miji, kuamuru ununuzi wa umeme na kuweka utaratibu wa mgawo wa umeme ili kukabiliana na upungufu uliopo. Shirika la nishati la
serikali Naftogaz liliripoti kuhusu shambulizi hilo kwenye kituo cha kuhifadhi gesi, lakini likaongeza kuwa usambazaji wa gesi kwa watumiaji haukuathirika. _Soma pia:_ Poland yataka Urusi
ijieleze baada ya kombora lake kukiuka usalama wa anga Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema juhudi za kujeresha umeme zinaendelea katika maeneo mbalimbali, huku kukiwa na changamoto
kubwa katika mji wa pili kwa ukubwa Kharkiv. Urusi ilivishambulia vituo vya kuzalisha na kusambaza nishati vya Ukraine Ijumaa iliyopita, na kusababisha kukatikaumeme katika maeneo mengi.
Vituo vya nishati katika maeneo matatu ya Ukraine pia vilishambuliwa mapema jana Jumapili. Wakati huo huo, Urusi ilifyatulia Ukraine makombora 57 pamoja na droni mapema Jumapili, huku
ikiushambulia mji mkuu Kyiv na mkoa wa Lviv ulioko magharibi mwa taifa hilo. Jeshi la Ukraine hata hivyo liliharibu makombora 18 kati ya 29 na droni 25 kati ya 28, hii ikiwa ni kulingana na
jeshi hilo kwenye taarifa yake kupitia mtandao wa Telegram.
Trending News
Vatican: usalama, utu na haki msingi za wakimbizi ni muhimu sana katika kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani. - | vatican newsBaba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume kama Khalifa wa Mtakatifu Petro anaendelea kutoa kipaumbele cha kwanza k...
George floyd: wamarekani weusi huwa katika hali gani kwenye mikono ya polisi? - bbc news swahiliGEORGE FLOYD: WAMAREKANI WEUSI HUWA KATIKA HALI GANI KWENYE MIKONO YA POLISI? Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za ...
Kard. Re aongoza mazishi ya kardinali angelo amato:alikuwa mtu wa imani! - | vatican newsDekano wa Makardinali aliongoza Ibada ya mazishi katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,Vatican kwa ajili ya Kardinali Ama...
Idhaa ya Kiswahili 25.12.2023 - | Vatican NewsPodcast Idhaa ya Kiswahili 25.12.2023 Your browser does not support the audio element Mchango wako kwa ajili ya utume mp...
Papa ameombea nchi pendwa ya myanmar ili vurugu ziishe - | vatican newsPapa Francisko amemwomba Mungu ili uchungu na vifo nchi Myanmar viishe na watu wasitoe machozi kamwe na mategemeo kuwa w...
Latests News
Urusi yashambulia kituo cha kuhifadhi gesi ukraineHayo yamejiri wakati maafisa wakirejesha huduma za umeme katika miji, kuamuru ununuzi wa umeme na kuweka utaratibu wa mg...
404 - ukurasa haujapatikanaNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Papa:ikiwa tutajenga kwa pamoja ndugu wataona umoja - | vatican newsPapa Francisko akiadhimisha Misa kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Ulaya katika kua...
YAKISUGI cajon | designboom.comDESIGNER'S OWN WORDS:着火剤としても使用される燃えやすい杉材を建築に使おうとする1つの矛盾を、「焼けないように焼いておく」という発想で解決した先人の知恵を、今回のテーマを見たときに思い出しました。焼杉は日本の伝...
Papa Francisko:Teknolojia zijali kwanza kiini cha mwanadamu2024.02.12 Papa alikutana na wajumbe washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Chuo cha Kipapa cha Maisha, (Vatican Media...