Hamas na Fatah wakaribia makubaliano ya mtawala wa Gaza
Hamas na Fatah wakaribia makubaliano ya mtawala wa Gaza"
Play all audios:
Afisa mmoja wa Mamlaka ya Palestina amethibitisha kwamba makubaliano ya awali yamefikiwa baada ya wiki kadhaa za mazungumzo mjini Cairo. Amesema kamati hiyo inaweza kuwa na wajumbe 12
hadi15, wengi wao kutoka Gaza.Kamati hiyo huenda ikauhitimisha utawala wa Hamas na pengine kusaidia kuendeleza mazungumzo ya kusitisha mapigano na Israel. Pande hizo hasimu zimefanya
majaribio kadhaa ya upatanisho ambayo hata hivyo hayakuzaa matunda, tangu Hamas ilipochukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007. Israel hata hivyo imeondoa uwezekano wa makundi hayo mawili
kuitawala Palestina, inayoungwa mkono na mataifa ya magharibi.
Trending News
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020 – DWNenda kwenye maudhuiNenda kwenye orodha kuuNenda tovuti zaidi za DWVidio zetuSauti zetuMaeneoTanzaniaKenyaJamhuri ya Kid...
Papa kwa waamini wa siracusa:kwa mfano wa lucia,wanawake wana njia zao za kufuata yesu - | vatican newsBaba Mtakatifu ameandika barua kwa Askofu Mkuu wa mji mkuu wa Siracusa wakati wa uhamisho kwa muda tu wa mwili wa Mtakat...
Sinodi,kanisa zuri ni kanisa lenye milango iliyofunguliwa - | vatican newsKatika mkutano na waandishi wa habari Oktoba 10,Rais wa Tume ya Habari,Dk.Ruffini,alitoa sasisho juu ya kazi ya vikundi ...
kutaragi | TechCrunchSAVE $200+ ON YOUR TECHCRUNCH ALL STAGE PASS BUILD SMARTER. SCALE FASTER. CONNECT DEEPER. JOIN VISIONARIES FROM PRECURSO...
Mpango Mkakati wa Kanisa Kuwalinda Watoto WadogoMbinu mkakati wa ulinzi wa watoto wadogo ni juhudi ambazo zimekuwa zikitekelezwa na Mama Kanisa sehemu mbali mbali za du...
Latests News
Hamas na Fatah wakaribia makubaliano ya mtawala wa GazaAfisa mmoja wa Mamlaka ya Palestina amethibitisha kwamba makubaliano ya awali yamefikiwa baada ya wiki kadhaa za mazungu...
Papa Francisko asikitishwa na hali ya kisiasa nchini Iraq: Kipigo kwa waandamanaji!Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vat...
Afrika:Kuelekea katika suluhisho la kudumu kwa watu waliolazimika kutawanyika barani AfrikaAfrika imepongezwa kwa ukarimu wake hasa wa kupokea mamilioni ya watu wanaotafuta usalama wakikimbia vita na mateso meng...
Papa apyaisha Baraza la Makardinali:C9Makardinali, liitwalo C9, kwani muda wake wa kuhudumu umekwisha. Baba Mtakatifu Papa apyaisha Baraza la Makardinali:C9...
Dk. Ruffini:dira ya sinodi ni kanisa la kukaribisha wote - | vatican newsNi kawaida kwetu kujiuliza:tuko wapi ulimwenguni,tuko wapi kwenye safari yetu?Tumefikia wapi? Na wapi?Na zaidi ya yote,j...