Papa francisko akutana na bw. Brad smith wa microsoft window! - | vatican news
Papa francisko akutana na bw. Brad smith wa microsoft window! - | vatican news"
Play all audios:
Bwana Brad Smith amemwambia Baba Mtakatifu Francisko kwamba, kwa kushirikiana na Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya maisha, wameamua kuanzisha “Tuzo ya Maadili Katika Matumizi ya Akili Bandia”,
tema itakayojadiliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya Maisha kwa mwaka 2020. NA PADRE RICHARD A. MJIGWA, C.PP.S. – VATICAN. Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 13
Februari 2019 amekutana na kuzungumza na Bwana Brad Smith, Rais wa Kampuni ya Microsoft, aliyekua ameambatana na Askofu mkuu Vincenzo Paglia, Rais wa Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya maisha na
Mkuu wa Taasisi ya Kipapa ya Ndoa na Familia ya Yohane Paulo II. Katika mazungumzo yao na Baba Mtakatifu, wamegusia kuhusu “artificial intelligence” yaani “akili bandia” kwa ajili ya huduma
ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Wameongelea juu ya mchakato wa kujenga daraja katika ulimwengu wa kidigitali, ili kurekebisha pengo kubwa lililopo duniani. MWISHONI MWA MAZUNGUMZO
YAO, BWANA BRAD SMITH AMEMWAMBIA BABA MTAKATIFU FRANCISKO KWAMBA, KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA KIPAPA kwa ajili ya maisha, wameamua kuanzisha “Tuzo ya Maadili Katika Matumizi ya Akili
Bandia”, tema itakayojadiliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya Maisha kwa mwaka 2020. Mkutano mkuu wa Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya Maisha utafanyika mjini
Vatican kuanzia tarehe 25-27 Februari 2019, kwa kuongoza na kauli mbiu “Maadili ya Roboti, Binadamu, Mashini na Afya”. Papa Microsoft
Trending News
Raia | designboom.comDESIGNER'S OWN WORDS: RAIA brings the feeling of freedom to the user by allowing a great variety of position adjust...
KishengagaKashmir Will repatriate body of PaK minor fished out from Kishengaga river: Police Bymigrator July 10, 2019 No Comments ...
Papa:wayahudi na wakristo wanaokiri muumba mmoja wanaweza kufungua njia za amani! - | vatican newsKatika mkutano na wawakilishi wa Jukwaa la Kimataifa la Kiyahudi,Papa Francisko amebainisha kwamba kila vita siku zote,k...
Congo Drc:hakimu ambaye alikuwa akichunguza kifo cha Attanasio ameuawa !Damu zaidi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Drc bado inamwagika. William Assani, hakimu wa jeshi ambaye a...
Papa Francisko:Teknolojia zijali kwanza kiini cha mwanadamu2024.02.12 Papa alikutana na wajumbe washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Chuo cha Kipapa cha Maisha, (Vatican Media...
Latests News
Papa francisko akutana na bw. Brad smith wa microsoft window! - | vatican newsBwana Brad Smith amemwambia Baba Mtakatifu Francisko kwamba, kwa kushirikiana na Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya maisha, ...
Safari ya injili ulimwenguni: ushuhuda wa mtakatifu paulo! - | vatican newsushuhuda wa Mtume Paulo ulijikita katika uinjilishaji kwa kuanzisha Jumuiya za Kikristo pamoja kuendeleza utume wa umisi...
Sala ya malaika wa bwana 24 januari 2021 - | vatican newsAngelus Angelus Dómini nuntiávit Mariæ. Et concépit de Spíritu Sancto. Ave Maria... Ecce ancílla Dómini. Fiat mihi secún...
Idhaa ya kiswahili 22. 10. 2020 - | vatican news__ The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the serv...
Papa:hata leo hii kuna mitindo isiyostahili ya utumwa! - | vatican newsTarehe 31 Desemba 2018 saa 11 jioni massa ya Ulaya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha masifu ya kwenye mkesha wa siku...