Papa:hameni kutoka mikakati ya mamlaka hadi mpango wa amani kimataifa - | vatican news
Papa:hameni kutoka mikakati ya mamlaka hadi mpango wa amani kimataifa - | vatican news"
Play all audios:
Wito wa nguvu wa Papa Francisko umetolewa mara baadaya sala ya Malaika kwa wakuu wa mataifa na mashirika ya kimataifa kuhusu kutoguswa na tabia ya kusisitiza migogoro na upinzani.Mgogoro wa
Ukraine ulipaswa kuwa lakini kama wanataka,bado unaweza kuwa changamoto kwa watawala wenye busara na wenye kujenga ulimwengu ulio bora katika mazungumzo kwa ajili ya vizazi vipya. NA ANGELLA
RWEZAULA – VATICAN. Papa kwa mara nyingine tena ameonesha wasiwasi wake wa mgogoro wa Ukraine na ametoa mwaliko wa kuendelea kuombea amani nchini na duniani kote. Haya ameyaeleza mara
baada ya sala ya Malika wa Bwana, Dominika tarehe 3 Julai 2022 kwa waamini na mahujaji waliounganika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro jijini Vatican. Papa amesema: “Ninatoa wito kwa wakuu wa
mataifa na mashirika ya kimataifa kuguswa na tabia ya kusisitiza migogoro na upinzani. Dunia inahitaji amani”. MGOGORO UNAWEZA KUWA CHANGAMOTO Papa Francisko kwa mara nyingine tena
amebainisha, nia si ile ya amani yenye msingi kwenye mizani ya silaha, juu ya hofu ya pande zote, kwa sababu ingemaanisha kurudisha historia nyuma kwa miaka sabini. Na kwa hivyo anaongeza:
Mgogoro wa Kiukraine ulipaswa kuwa, lakini, ikiwa unataka bado unaweza kuwa changamoto kwa watawala wenye busara, wenye uwezo wa kujenga ulimwengu bora katika mazungumzo kwa vizazi vipya.
Kwa msaada wa Mungu, hili linawezekana daima! KUHAMA MKAKATI WA NGUVU ZA KISIASA Matumaini ya Papa ni kuhama kutoka katika mikakati ya nguvu za kisiasa, kiuchumi na kijeshi hadi mpango wa
amani wa kimataifa kwani hapana hadi ulimwengu uliogawanyika kati ya nguvu zinazopingana, Papa Francisko anatangaza, ndiyo kwa ulimwengu uliounganishwa kati ya watu na ustaarabu
unaoheshimiana. Ripoti msingi inabainisha kuwa vyombo vya habari vya Urusi viliishutumu Ukraine kwa kulipua uwanja wa ndege wa Melitopol ambao kwa sasa unadhibitiwa na vikosi vya Moscow. Kwa
mujibu wa Ria Novosti, vikosi vya Ukraine vilishambulia kwa mabomu mji huo unaokaliwa kwa muda mara mbili usiku
Trending News
Tafakari dominika ya 11 ya mwaka b wa kanisa: ukuaji wa ufalme wa mungu ni kazi ya mungu - | vatican newsUfalme wa Mungu ni uwepo wa Mungu katika mioyo na maisha ya mwanadamu. Ni Mungu akiwa kweli kiongozi wa kila hatua tufan...
Taa kuangaza magofu ya kale na giza la adhabu ya kifo - | vatican newsTarehe 30 Novemba 2022,jijni Roma na miji mingine elfu mbili itawasha taa katika minara yao maarufu ili kwa pamoja kupin...
Ripoti ya Sinodi ya Marekani yaonesha ukuaji,mivutano&nia ya kupyaisha mwili wa Kristo.Papa wakati wa ziara yake nchini Marekani mnamo 2015 alitoa heshima wa wahanga wa shambulio la kigaidi katika minara pac...
George floyd: wamarekani weusi huwa katika hali gani kwenye mikono ya polisi? - bbc news swahiliGEORGE FLOYD: WAMAREKANI WEUSI HUWA KATIKA HALI GANI KWENYE MIKONO YA POLISI? 13 Aprili 2021 TUMEFANYA UTAFITI WA TAKWIM...
Sala ya malaika wa bwana 15 agosti 2020 - | vatican newsAngelus Angelus Dómini nuntiávit Mariæ. Et concépit de Spíritu Sancto. Ave Maria... Ecce ancílla Dómini. Fiat mihi secún...
Latests News
Papa:hameni kutoka mikakati ya mamlaka hadi mpango wa amani kimataifa - | vatican newsWito wa nguvu wa Papa Francisko umetolewa mara baadaya sala ya Malaika kwa wakuu wa mataifa na mashirika ya kimataifa ku...
Machi 4 watatangazwa watakatifu watatu wa Kanisa2021.05.03 Papa Francisko ataongoza masifu tarehe 4 Machi katika Mkutano wa Kawaida wa Makardinali kwa ajili ya kuwatang...
Raia nchini senegal wapiga kura kumchagua rais mpyaKaribu watu milioni 7.3 wameandikishwa kupiga kura katika taifa hilo la Afrika Magharibi ambapo wagombea wawili wanaopig...
Papa Francisko: Uponyaji wa Ulimwengu: Kipaumbele Maskini!Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuwaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema, kujiunga pamoja naye, ili ku...
Idhaa ya Kiswahili 07.01.2025 - | Vatican NewsPodcast Idhaa ya Kiswahili 07.01.2025 Your browser does not support the audio element Mchango wako kwa ajili ya utume mp...