Macron, rais wa halmashauri kuu ya ulaya ziarani china
Macron, rais wa halmashauri kuu ya ulaya ziarani china"
Play all audios:
Waliwasili mjini Beijing leo kwa ziara inayonuiwa kuishawishi China kutounga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, wakati pia wakiweka mahusiano ya karibu na mshirika huyo muhimu wa
kibiashara. Akizungumza mjini Beijing, Macron amesema China inaweza kuwa na mchango muhimu katika kupatikana mkondo wa amani nchini Ukraine. Macron na Von der Leyen watakutana na Rais wa
China Xi Jinping pamoja na viongozi wengine wa serikali. Katika hotuba yake wiki iliyopita, Von der Leyen aliionya Beijing dhidi ya uungaji mkono wa moja kwa moja vita vya nchini Ukraine,
wakati akifuta uwezekano wa Umoja wa Ulaya kujitenga na China.
Trending News
Tshisekedi: rwanda imepeleka raia wake maeneo ya m23Wakati wa hotuba yake mbele ya bunge, Rais Félix Tshisekedi alilaani mkakati unaodaiwa kuratibiwa na Rwanda wa kubadilis...
Vatican: usalama, utu na haki msingi za wakimbizi ni muhimu sana katika kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani. - | vatican newsBaba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume kama Khalifa wa Mtakatifu Petro anaendelea kutoa kipaumbele cha kwanza k...
George floyd: wamarekani weusi huwa katika hali gani kwenye mikono ya polisi? - bbc news swahiliGEORGE FLOYD: WAMAREKANI WEUSI HUWA KATIKA HALI GANI KWENYE MIKONO YA POLISI? Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za ...
Kard. Re aongoza mazishi ya kardinali angelo amato:alikuwa mtu wa imani! - | vatican newsDekano wa Makardinali aliongoza Ibada ya mazishi katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,Vatican kwa ajili ya Kardinali Ama...
Papa Francisko:Teknolojia zijali kwanza kiini cha mwanadamu2024.02.12 Papa alikutana na wajumbe washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Chuo cha Kipapa cha Maisha, (Vatican Media...
Latests News
Macron, rais wa halmashauri kuu ya ulaya ziarani chinaWaliwasili mjini Beijing leo kwa ziara inayonuiwa kuishawishi China kutounga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, waka...
Idhaa ya Kiswahili 11.01.2019 - | Vatican NewsPodcast Idhaa ya Kiswahili 11.01.2019 Your browser does not support the audio element Mchango wako kwa ajili ya utume mp...
Mkutano wa rimini,balozi wa vatican huko kyiv:hapa ni ishara ya kutoa matumaini - | vatican news“Ikiwa unataka amani,tayarisha amani.”Ni maneno yaliyosemwa na Askofu Mkuu Visvaldas Kulbokas Balozi wa Vatican Nchini U...
Askofu emmanuel bushu wa jimbo la buèa ang'atuka kutoka madarakani - | vatican newsAskofu mstaafu Emmanuel Bushu wa Jimbo Katoliki Buéa alizaliwa tarehe 31 Julai 1944. Kumbe, ameng’atuka kutoka madarakan...
Kardinali parolin:kukarabatiwa kwa kambi itawezesha walinzi wa uswiss kutekeleza vema utume wao - | vatican newsKardinali Pietro Parolin amesema saini iliyotiwa Jumatano Mei 4 katika hati kwa ajili ya ukarabati wa kambi ya Walinzi w...